
634 views
Wakenya wengi kwenye mitandao ya kijamii wameuliza viongozi maswali mengi wakitaka kujuani ni kwa nini viongozi wengi wanavunza sheria za Covid19 wakati ambao wao ndio wako kwenye mustari wa mbele kusema kwamba sheria zifuatwe kikamilifu #UhuruKenyatta #Kikao #JamilaMohamed #LinconInNjogu #VincentAteya