
10,243 views
Hii ni baada ya aliyekuwa kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Aden Duale kubanduliwa kutoka wadhifa wake kama kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa, nafasi ambayo ilichukuliwa na Mbunge wa Kipipiri Amos Kimunya #AdenDuale #JubileeParty #Kikao