
361 views
Kwenye ya mohojiano ya moja kwa moja kupitia njia ya simu naye Melody Sinzore msanii wa injili Size 8 ameweka bayana magumu aliyapitia kipindi alichopoteza ujaa uzito wake wa kwanza na kumpoteza mamake wakati huo #Size8 #JamboKenya #MelodySinzore