3,628 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 17 Jun 2020
2:58
Seneta wa Siaya James Orengo amemtetea Gavana wa Kirinyaga Ann Waiguru na kusema kwamba baadhi ya wanasiasa wana kinyongo naye na wanamtaka kuondoka afisini #AnnWaiguru #SenJamesOrengo #JamboKenya