
1,162 views
Huku janga la Corona likiendelea kutatiza ulimwengu, watu wanne wamepatikana na virusi vya korona katika ikulu ya rais jijini nairobi. Msemaji wa ikulu kanze dena, amedhibitisha kuwa wanne hao tayari wanapokea matibabu huku akisema kuwa rais na familia yake hawana virusi hivyo. Na sasa ikulu ya rais imeweka mikakati kuzuia maambukizi zaidi. #CoronaInStateHouse #Gumzo #JamboKenya