1,073 views
Waks Tiki Taka on Radio Citizen
Aired 16 Jun 2020
7:10
Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga alichukuwa hatua ya kupimwa virusi vya Corona kama njia moja wapo ya kuonyesha kielelezo chema kwa Wakenya na vingongozi wengine #RailaOdinga #Covid19 #FrancisGachuri