29,957 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 16 Jun 2020
6:45
Akiongea kwenye mahojiano ya moja kwa moja na Francis Gachuri Raila Odinga alisema kwamba yeye hana nia ya kuokoa gavana wa Kirinyaga Ann Waiguru #RailaOdinga #FrancisGachuri #AnnWaiguru