
3,392 views
Akiongea na kituo cha Radio Citizen kwa njia ya simu seneta wa Elgeyo-Marakwet kipchumba Murkomen amesema kwamba ikiwa Rais Uhuru Kenyatta na kinara wa ODM Raila Odinga wanataka kuokoa Ann Waiguru ataokolewa haraka sana #KipchumbaMurkomen #AnnWaiguru #UhuruKenyatta #RailaOdinga