
192 views
Akiongea kwenye mahojiano na kituo cha Radio Citizen mkuu wa wafanyikazi katika Ikulu Nzioka Waita amesema kwamba serikali imewake mikakati ya kuwapa ajila au pesa waliopoteza kazi zao kipindi hiki cha corona #NziokaWaita #RaisUhuruKenyatta #VincentAteya