
202 views
Kwa mara nyingine tena katibu mkuu wa chama cha ANC Barrack Muluka ametetea kinara wa chama hicho kuwa chama kipo imara na kutoa onyo kwa wanaosambaza injili kuwa muda wa Mudavadi umeisha kukoma kufanya hivyo #MsaliaMudavadi #BarrackMuluka #VincentAteya