425 views
Waks Tiki Taka on Radio Citizen
Aired 10 Jun 2020
3:25
Mbunge mteule Godfrey Osotsi amesema kwamba muda wake Musalia Mudavadiwa kuhudumu kama kinara mkuu wa chama cha ANC umekwisha na kwa hivyo anafaa kuondoka mara moja #ANCParty #MusaliaMudavadi #GodfreyOsotsi