557 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 10 Jun 2020
2:51
Kitibu mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna amekana vikali madai ya baadhi ya viongozi wa Ford Kenya wanaodai kwamba cha cha ODM kimehusika pakubwa katika kusambalatisha chama hicho na kuwataka viongozi hao kubeba msalaba wao wenyewe