
6,698 views
Kwa mara nyingine tena jaji mkuu nchi David Maraga amemkashifu vikali Rais wa nchi Uhuru Kenyatta kwa kusita kuidhinisha majaji zaidi na kusema kwamba Rais anahujumu haki za wakenya na utenda kazi wa mahakama #DavidMaraga #UhuruKenyatta #Kikao