
618 views
Akiongea kwenye mahojiano ya moja kwa moja kwa njia ya simu msanii maarufu kama Willy Paul ameweka wazi kwamba hana shida yoyote na msanii wa injili Ringtone ambaye amenukuliwa mara si moja akikashifu vitendo na muziki wake Willy Paul #Ringtone #WillyPaul #WillyMTuva