5,865 views
Citizen Drive Show on Radio Citizen
Aired 4 Jun 2020
3:05
Enzi za zamani mwanamke angechapwa na mumewe kama njia ya mapenzi lakini siku hizi hakuna mwanamke ambaye atakubali kupigwa bila kulipisha kizazi #TinaOgal #MunaiGenerali #DriveOnReloaded