
694 views
Hivi karibuni chama cha Jubilee kimeonekana kuwadhibu na kuwangoa kutoka mamlakani viongozi wanao enda kinyuma na sheria za chama hicho, Sasa ni bayana kuwa huenda shoka hilo likamwangukia Kiongozi wa Wengi katika Bunge la Kitaifa Aden Duale , Je kunani Jubilee #AdenDuale #MelodySinzore #Gumzo