
421 views
Mzozo unaotokota ndani ya chama cha FORD KENYA umechukua mkondo mwingine baada ya katibu mkuu wa cha hicho Dr Eseli Simiyu kusema kwamba Moses Wetangula atabanduliwa kama kinara mkuu chamani humo kwa vyovyote vile #DrEseliSimiyu #MelodySinzore #FordKenya