
1,472 views
Wakenye wenge wamengoja kwa muda Rais Uhuru Kenyatta kufungua uchumi wa nchi ambao umesorota kwa kiasi fulani, Hii leo wanakikao wameweka bayana uhalisia wa mambo na kuyajibu maswali ya wakenya wengi kama vile ni kwa nini Uchumi wa nchi hauwezi kufunguliwa kwa sasa #RaisUhuruKenyatta #Kikao #JamilaMohamed #LincoInNjogu #FrancisGachuri #MelodySizore