3,519 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 1 Jun 2020
2:49
Kifo cha gwiji wa rhumba nchini John Nzenze kiliwaliza kuhuzunisha nyoyo za wapenzi wa rhumba si Kenya tu lakini ukanda wa afrika mashariki kwa jumla #Johnnzenze #RogaRoga #UncleFredObachiMachoka