955 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 29 May 2020
3:53
Msanii Tanasha Donna aliyekuwa mkewe Diamond Platnumz amesema kwamba atampa mtoto wake malezi mazuri mbali na kumfunza kuwa mwanamume mzuri #DiamondPlatnumz #TanashaDonna #WillyMTuva #Mambomseto