107 views
Jambo Kenya on Radio Citizen
Aired 28 May 2020
4:23
Akiongea kwenye mahojiano na Radio Citizen waziri wa fedha Ukur Yatani amekubali kwamba uchumi wa nchi ya Kenya na mataifa mengine mengi ni umeathiriwa pakubwa kutokana na kuzuka ugonjwa wa corona #UkurYatani #VincentAteya #JamboKenya