
58 views
Akiongea kwenye kitengo cha #JamboKenya PS Susan Mochache amesema amesema kwamba wakenya wasiogope kupimwa kwani ikiwa watapatikana na virusi vya corona serikali itagharamia matibabu hata pesa za karantini #SusanMochache #JamboKenya #VincentAteya