
2,435 views
Zaizi ya watu 20 eneo la Gikambura Kaunti ya Kikuyu wameaathirika vibaya kiafya baada kula chakula chenye sumu, Hii ni baada ya wakufu wa wa naibu Rais Williamu Ruto kupeana chakula cha msaada wiki hii. Watu waliopeana chakula hicho bado hawajajulikana #WilliamRuto #Kikuyu #Kikao