362 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 22 May 2020
5:17
Akiongea kwenye mahojiana na mzazi willy Mv Tuva kwa njia simu msanii huyo amasema kwamba alikuwa akidanganya wazazi wake kwamba anaenda kwa marafiki kumbe alikuwa anaenda studioni kujikuza kimuziki #Nazizi #MzaziWillyMTuva #MamboMseto