
232 views
Shutma didhi ya rais wa shirikisho la soka nchini Nick Mwendwa alifikishwa mbele ya idara ya upepelezi hapa nchini kenya DCI kuelezea kuhusiana na utumizi mbaya wa shilingi milioni 244 wakati wa dimba la AFCON mwaka 2019. #NickMwendwa #WaksTikiTaka #ShattaBway