1,293 views
Citizen Drive Show on Radio Citizen
Aired 20 May 2020
2:22
Mbio za sakafuni na wanahabari bandia wa Radio Citizen na runinga Ya Citizen walijipata matatani baada ya njama yao ya kufanya mahojiona na John Mututho kutibuka #FakeJournalistArrested #Nakuru #DriveOnReloaded