
1,748 views
Akiongea kwenye kitengo cha #JamboKenye kiranja mkuu katika seneti Irungu Kangata ameweka mambo bayana kuwa hakuna mipango yoyote ya kumtimuanaibu Rais William Ruto kutoka chama cha Jubilee hii ni baada ya ya wakenya wenge kwenye mitandao kusema kwamba huenda kuna njama fiche ya chama ya Jubilee kumtimua William Ruto #WilliamRuto #KithureKindiki #JubileeParty