
1,626 views
Uhusiano kati ya Nchi ya Tanzania na Kenya unaendelea kudorora baada ya kenya kuwarejesha madereva 52 wanye uraia wa Tanzania walipatikana na virusi vya corona Jambo ambalo lilionekana kuikera nchi jirani ya Tanzani. #Tanzania #Gumzo #JamboKenya