43,380 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 15 May 2020
8:57
Msanii aliyetamba kwa kibao Stella kwa mara ya kwanza ameamua kuweka bayana jina halisi na kabila la binti ambaye aliimba kumhusu kwenye kibao chake #FreshlyMwamburi #VincentAtey #Stella