
4,741 views
Baadhi ya kina mama kwenye mitandao ya kijamii wameonyesha mapenzi kwa Naibu wa Rais Williamu Ruto baada ya wendani wake kutemwa kutoka nyadhfa ambazo walikuwa wameshilia kitendo ambacho kilionekana kama kukata mizizi ya kisiasa ya Williamu Ruto #WilliamRuto #JamboKenya #VincentAteya