
157 views
Waziri wa michezo na utamaduni Amina Mohamed leo hii akiongea kwenye kipindi cha Jambo Kenya ameweka bayana kwamba wasanii wote kutoka maeneo yote nchini watapokea malipo yao kama ilivyoratibiwa ili waendelee kuburudisha na kuelimisha wakenya kupitia sanaa mbalili mbali kipindi hiki kigumu #AminaMohamed #JamboKenya #VincentAteya