
18,727 views
Inspekta Mwala alipatwa na mshangao baada ya mahakama kuamuru wajukuu wa aliyekuwa waziri wa zamani Mbiu Koinange kupewa mabilioni ya pesa kama urithi waka na kwa hivyo alionelea ni vyema kutuma ombi kwa Jeff Koinange amtambulishe kama mmoja wa wajukuu wa Mbiu Koinange #InspektaMwala #JeffKoinange #DriveOnReloaded