
86,444 views
Huku mawimbi makali yakiendelea kuyumbisha uhusiano wa rais Kenyatta na naibu wake Dr William Ruto, Seneta wa Elgeyo Marakwet Kipchumba Murkomen ametemwa kama kiongozi wa wengi katika bunge la seneti na nafasi yake kuchukukuliwa na seneta wa Pokot Magharibi Samuel Poghisio, naye Irungu Kang’ata akitangazwa kiranja mkuu, nafasi iliyoshikiliwa na seneta wa Nakuru Susan Kihika. Mabadiliko yalifanyika kwenye Ikulu hapa jijini Nairobi .#WilliamRuto #UhuruKenyatta #KichumbaMurkomen