
3,237 views
Serikali imetishia kufunga baadhi ya mikahawa humu nchini kukosa kuzingatia sheria mpya za kukabiliana na #Coronavirus hii ni baada ya mikahawa hiyo kufungwa ili kupiga cheki vita dhidi ya maambukizi ya coorona #JamboKenya #VincentAteya #MelodySinzore