
96 views
Akiongea kwenye mahojiano na kituo cha Radio Citizen waziri wa ugatuzi Eugene Wamalwa aliwaomba watu ambao wanakaa katika maeneo kama vile mto nzoia ,Yala, Nyando ,Sabwani,Tana, Sabaki na Daua na Kuhamia maeneo salama kabla ya serikali kuwajengea makao na kuwafidia #JamboKenya #EugenWamalwa #VincentAteya