
598 views
Kwenye mahojiano ni kituo cha Radio Citizen kitengo cha #JamboKenya Cyrus Oguna amesema kwamba kuna baadhi ya maafisa wa polisi ambao wanatumia mamlaka na vyeo vyao vibaya wakati huu wa korona na serikali itawachukulia hatua kulingana na mjibu wa sheria #CyrusOguna #FrancisGachuri #JamboKenya