611 views
Pambazuka on Radio Citizen
Aired 1 May 2020
6:23
Changamoto ya siku ni kutoka kitabu cha Yohana 2:1-8 kinatukumbusha kwamba Bwana atatenda kwa wakati wake. Tunahitaji kusubiri wakati wa Mungu ukiwadia naye atatenda. #Changamoto #Pambazuka #RadioCitizen #SyombuaOsiany