914 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 24 Apr 2020
5:21
Wawili hao ambao ni wasanii wa nyimbo za injili wamesimulia changamoto ambazo wanapitia wakati huu wa janga la corona na kuwasihi wakenya kujenga upya uhusiano wao na mungu wakati huu wa corona #GloriaMuliro #JamboKenya #SolomonMubwa