705 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 21 Apr 2020
12:16
Msanii wa injili maarufu kama bahati ametoa sababu za kuchukua hatua ya kufunga EMB records, wakati huo huo amesema kwamba tasnia ya uimbaji wa muziki wa injili una unafiki wa kiwango cha juu zaidi #BAHATI #EMBRECORDS #MzaziWillyMTuva