
4,057 views
Kinara wa chama cha ODM, Raila Odinga anasema kuwa homa ya Corona haiwezi kusimamisha reggae ya BBI. Akizungumza na Vincent Ateya amesema kwamba ikizingatiwa hali ya uchumi ya taifa, na kuwepo idadi kubwa ya wakenya wasiojiweza, kutangaza Lockdown itakuwa hatari kwani watu watakosa chakula #JamboKenya #RailaOdinga #VincentAteya