
716 views
Akiongea kwenye #MamboMseto kupitia njia ya simu msanii maarufu kutoka nchini Uganda alisema kwamba angechagua kufanya kazi na Diamon kuliko Harmonize kwa sababu Harmonize anamuiga Diamond mbali na Diamond kumkea kimuziki #DiamondPlatnumz #Harmonize #MamboMseto