
637 views
Gumzo Mtaani: Baada ya serikali kutangaza lockdown katika kaunti ya Nairobi watu wengi wamebuni njia tofauti za kuingia kaunti ya Nairobi lakini wakati serikali inaweka mikakati hii ni kwa usalama wetu. #VincentAteya #JamboKenya #RadioCitizen