
7,764 views
Katibu mkuu wa chama cha walimu KNUT, Wilson Sossion asisitiza kwamba mitihani ya darasa la nane na kidato cha nne itaendelea kama ilivyopangwa kutoka tarehe moja mwezi wa Novemba mwaka wa 2020. #WilsonSossion, #KNUT #VincentATeya #RadioCitizen #JamboKenya