
104 views
Kwa mara nyingine tena tasinia ya sanaa hapa nchini Kenya imeonekana kupata nguvu mpya baada ya Rais Uhuru Kenyatta kutoa agizo la wasanii kulipwa au kupokea pesa kutoka kwa serikali kwa minajili ya kuendelea kuwaburudisha wakenya wakati huu mgumu #CoronaVirus #AnnQTee #WaksTikiTaka