
1,061 views
Akizungumza kutoka maeneo ya Isinya kaonti ya Kajiado Fred Machoka ameshukuru kituo cha radio Citizen na Runinga ya Citizen pamoja na serikali kwa kuweka mikakati imara kukabiliana na virusi vya Corona nchini #FredObachiMachoka #RadioCitizen #RogaRoga