9,161 views
Mambo Mseto on Radio Citizen
Aired 19 Mar 2020
5:39
Inspekta Mwala kwa mara nyingine tena alipata wakati mgumu alipokukataa kunawa mikono baada ya kutumia choo huku hofu ya corona ikitandanda nchini #CoronaVirus #JeridahAndayi #InspektaMwala