
693 views
Wakenya kwenye mitandao ya kijamii wamesuta vikali kampuni ya reli nchini kwa kutoweka mikakati tabhithi ili kuona kwamba hakuna msafiri ambaye yuko hatarini anapo abiri gari la moshi , Hii ni baada ya mwanadada nusura kuhusika kwenye ajali mbaya maeneo ya pipeline hapa jijini Nairobi #RadioCitizen #KenyaRailWays