
934 views
Baada ya Waziri wa afya Mutahi Kagwe kutangaza kisa cha kwanza cha coronavirus nchini Kenya wahudumu katika sekta ya usafiri wametii amri na kutilia maanani mikakati ya kukinga wasafiri kutokana na virusi hivi. #radiocitizen #coronavirus #Covid_19