
2,797 views
Msanii wa injili Gloria Muliro amekashfu vikali wasanii wa injili ambao ushirikiana na wasani wa nyimbo za kidunia . Akiongea kwenye kipindi cha Jambo Kenya Gloria ametaja kitendo hicho kama kumchezea mungu #JamboKenya #LookToJesus #GloriaMliro