
330 views
Kwa mara nyingine tena nchi ya Somalia imejipata taabani baada ya kuzidisha mapigano ya wao kwa wao hadi sehemu za mandera zilizopo hapa nchini Kenya kinyume na sheria za umoja wa mataifa ambazo ulinda mipaka ya mataifa ,bali mbali #InspektaMwala #MwendeMbichiwe #VincentAteya